Genesis 21:2-3

2 aSara akapata mimba, akamzalia Abrahamu mwana katika uzee wake, majira yale ya Mungu aliomwahidi. 3 bAbrahamu akamwita Isaki yule mwana ambaye Sara alimzalia.
Copyright information for SwhNEN